Tengeneza vitambulisho vya kisasa kwa shule. Mfumo salama, wenye kasi na rahisi kutumia kwa kila mtu.
Everything you need for Professional Identification
Pakia faili la Excel (CSV) na mfumo utatengeneza vitambulisho vya mamia ya watu kwa mkupuo mmoja.
Kila kitambulisho kina QR Code ya kipekee ambayo inasomeka na simu yoyote kwa ajili ya uhakiki wa papo hapo.
Mifumo ya kisasa ya kadi inayopanga picha na taarifa kwa usahihi bila kuhitaji ujuzi wa graphic design.